RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC

Filed in Ajira, Makala by on 14/08/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC, MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC Tanzania,Sample INEC Letter, Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya NEC, Mfano Barua Ya Kuomba Ajira NEC, Barua ya Kuomba kazi NEC, Barua ya Kuomba Kazi Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania Bara, Barua ya Kuomba Kazi Tume Huru ya Uchaguzi Zanzibar.

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC, MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC Tanzania,Sample INEC Letter, Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya NEC, Mfano Barua Ya Kuomba Ajira NEC, Barua ya Kuomba kazi NEC, Barua ya Kuomba Kazi Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania Bara, Barua ya Kuomba Kazi Tume Huru ya Uchaguzi Zanzibar.

Nini cha Kujumuisha katika Barua Yako. Kama ilivyo kwa barua zote za kazi, Barua ya maombi ya kazi imegawanywa katika sehemu:

Kichwa, ambacho kinajumuisha jina lako na maelezo ya mawasiliano. Salamu zinazoelekezwa kwa mtu mahususi, ikiwezekana.

Utangulizi, ambao unapaswa kujumuisha kwa nini mwombaji anaandika.

Muhtasari, ambao humshukuru msomaji na hutoa maelezo ya mawasiliano na maelezo ya ufuatiliaji.

Saini ya kumaliza barua hapa kuna muhtasari wa kile cha kujumuisha katika barua ya maombi ya kazi.

Barua yako ya maombi humruhusu mwajiri kujua ni nafasi gani unaomba, kwa nini mwajiri anapaswa kukuchagua kwaajili ya usaili, na jinsi utakavyofuatilia.

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC NEC

Mfano Barua ya Kuomba Ajira NEC Donwload PDF hapa chini ili uone Jinsi gani uandike Barua yako ya kuomba Ajira za NEC na ukubaliwe, Mfano wa Barua ya Ombi la Kazi INEC Download hapa chini:

Wakati wa kuandika hakikisha unaweka taarifa zako sahihi pia anuani ya muandikiwa ibadilishe endapo ni Zanzibar.

BARUA YA KUOMBA KAZI INEC NEC DONWLOAD PDF HAPA


MUUNDO WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI

Tume inaundwa na Wajumbe saba (7), miongoni mwao wakiwemo Mwenyekiti na

Makamu Mwenyekiti ambao wanapaswa kuwa na sifa ya Jaji wa Mahakama Kuu au

Mahakama ya Rufani. Katika Uteuzi, Rais anazingatia kuwa endapo Mwenyekiti ni mtu anayetoka sehemu moja ya Muungano, Makamu wake atakuwa ni mtu anayetoka sehemu ya pili ya Muungano. Hii, ni kwa mujibu wa Ibara ya 74(1) na (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343.

Aidha, Mjumbe mmoja anateuliwa kutoka miongoni mwa Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) na Wajumbe wengine wanne (4) wanatakiwa wawe na uelewa wa kutosha kuhusiana na kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Wabunge au sifa nyingine kama ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano atakavyoona inafaa kwa ajili ya kuendesha shughuli za Tume.

Tume ina jumla ya Wajumbe saba (7), kama inavyoonesha hapa chini:-

Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Na. Jina Wadhifa

  1. Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele, Mwenyekiti
  2. Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk, Makamu Mweyekiti
  3. Mhe. Jaji Asina Abdillah Omari, Mjumbe
  4. Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri, Mjumbe
  5. Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira, Mjumbe
  6. Mhe. Jaji Rufaa Mwanaisha Athuman Kwariko, Mjumbe
  7. Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar, Mjumbe

Wajumbe wa Tume hukaa Madarakani kwa kipindi cha miaka mitano tangu kuteuliwa kwao, lakini Rais anaweza kuwateua tena kwa kipindi kingine kadri atakavyoona inafaa.

Katika utekelezaji wa majukumu yake, Tume husaidiwa na Sekretarieti inayoongozwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye ndiye Mtendaji Mkuu na Katibu wa Tume.

Kwa sasa Mkurugenzi wa Uchaguzi ni Ndugu Kailima, R.K.

Aidha, Tume ina Idara 6, Ofisi ya Zanzibar na Vitengo 3 kama ifuatavyo:-

(i) Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi;

Majukumu ya Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi

(ii) Idara ya Daftari na TEHAMA;

Majukumu ya Idara ya Daftari na TEHAMA

(iii) Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura;

Majukumu ya Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura

(iv) Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu;

Majukumu ya Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu

(v) Idara ya Mipango Ufuatiliaji na Tathmini;

Majukumu ya Idara ya Mipango Ufuatiliaji na Tathmini

(vi) Idara ya Usimamizi wa Manunuzi na Lojistiki;

Majukumu ya Idara ya Usimamizi wa Manunuzi na Lojistiki

(vii) Kitengo cha Huduma za Sheria

Majukumu ya Kitengo cha Huduma za Sheria

(viii) Ofisi ya Zanzibar;

Majukumu ya Ofisi ya Zanzibar

(ix) Kitengo cha Fedha na Uhasibu; na

Majukumu ya Kitengo cha Fedha na Uhasibu; na

(x) Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani;

Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , ,

Comments (7)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Munira Mohd says:

    Nataka kujiunga kuwaandikisha watu katika daftari la kudumu la mpiga kura

    • Monica says:

      Nauliza namm je Kama upo mbali na dodoma hayo maombi unatuma vip maana sijaona hata email

  2. Anthony michael mazuri says:

    Niko mbali na dodoma nitaandika barua then nipeleke wapi na email haijatumwa?????

  3. Jackson paul says:

    Nahitaji kujiunga kuandikisha watu nipo kibaha

  4. Jackson paul says:

    Nahitaji kazi ya kuandikisha watu nipo kibaha

  5. Jackson paul says:

    Nahitaji kazi ya kuandikisha watu

  6. John paulo says:

    Nahitaji kazi ya kuandikisha watu