SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


MFANO wa Barua ya Kuomba kazi NEC

Filed in Ajira, Makala, Michezo by on 27/04/2024 7 Comments

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi NEC

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi NEC, MFANO wa Barua ya Kuomba kazi NEC Tanzania,Sample NEC Letter,Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya NEC, Mfano Barua Ya Kuomba Ajira NEC,Barua ya kuomba kazi nec pdf in english,Barua ya kuomba kazi nec pdf free download,Barua ya kuomba kazi nec pdf download,Barua ya kuomba kazi ya udereva pdf, Barua ya Kuomba kazi bank, Barua ya kuomba kazi word, Barua ya kuomba kazi ya ulinzi,Barua ya udhamini wa kazi pdf download,Barua ya kuomba Kazi polisi Mfano wa barua ya kuomba kazi tanesco,Jinsi ya kuandika barua ya kuomba kazi katika kampuni,Barua ya kuomba kazi supermarket.

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi NEC

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi NEC, MFANO wa Barua ya Kuomba kazi NEC Tanzania,Sample NEC Letter,Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya NEC, Mfano Barua Ya Kuomba Ajira NEC, Barua ya Kuomba kazi NEC, Barua ya Kuomba Kazi Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania Bara 2024.

Nini cha Kujumuisha katika Barua Yako. Kama ilivyo kwa barua zote za kazi, Barua ya maombi ya kazi imegawanywa katika sehemu:

Kichwa, ambacho kinajumuisha jina lako na maelezo ya mawasiliano. Salamu zinazoelekezwa kwa mtu mahususi, ikiwezekana.

Utangulizi, ambao unapaswa kujumuisha kwa nini mwombaji anaandika.

Muhtasari, ambao humshukuru msomaji na hutoa maelezo ya mawasiliano na maelezo ya ufuatiliaji.

Saini ya kumaliza barua hapa kuna muhtasari wa kile cha kujumuisha katika barua ya maombi ya kazi.

Barua yako ya maombi humruhusu mwajiri kujua ni nafasi gani unaomba, kwa nini mwajiri anapaswa kukuchagua kwaajili ya usaili, na jinsi utakavyofuatilia.

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi NEC

Mfano Barua ya Kuomba Ajira NEC Donwload PDF hapa chini ili uone Jinsi gani uandike Barua yako ya kuomba Ajira za NEC na ukubaliwe, Mfano wa Barua ya Ombi la Kazi NEC don’t Download hapa chini:

BARUA YA KUOMBA KAZI NEC 2024 DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA

MUUNDO WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Tume inaundwa na Wajumbe saba (7), miongoni mwao wakiwemo Mwenyekiti na

Makamu Mwenyekiti ambao wanapaswa kuwa na sifa ya Jaji wa Mahakama Kuu au

Mahakama ya Rufani. Katika Uteuzi, Rais anazingatia kuwa endapo Mwenyekiti ni

mtu anayetoka sehemu moja ya Muungano, Makamu wake atakuwa ni mtu

anayetoka sehemu ya pili ya Muungano. Hii, ni kwa mujibu wa Ibara ya 74(1) na (2)

ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha

4(1) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343.

Aidha, Mjumbe mmoja anateuliwa kutoka miongoni mwa Wanachama wa Chama cha

Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) na Wajumbe wengine

wanne (4) wanatakiwa wawe na uelewa wa kutosha kuhusiana na kusimamia na

kuendesha Uchaguzi wa Wabunge au sifa nyingine kama ambavyo Rais wa Jamhuri

ya Muungano atakavyoona inafaa kwa ajili ya kuendesha shughuli za Tume.

Tume ina jumla ya Wajumbe saba (7), kama inavyoonesha hapa chini:-

Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Na. Jina Wadhifa

 1. Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele, Mwenyekiti
 2. Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk, Makamu Mweyekiti
 3. Mhe. Jaji Asina Abdillah Omari, Mjumbe
 4. Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri, Mjumbe
 5. Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira, Mjumbe
 6. Mhe. Jaji Rufaa Mwanaisha Athuman Kwariko, Mjumbe
 7. Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar, Mjumbe

Wajumbe wa Tume hukaa Madarakani kwa kipindi cha miaka mitano tangu

kuteuliwa kwao, lakini Rais anaweza kuwateua tena kwa kipindi kingine kadri

atakavyoona inafaa.

Katika utekelezaji wa majukumu yake, Tume husaidiwa na Sekretarieti

inayoongozwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye ndiye Mtendaji Mkuu na Katibu

wa Tume. Kwa sasa Mkurugenzi wa Uchaguzi ni Ndugu Kailima, R.K.

Aidha, Tume ina Idara 6, Ofisi ya Zanzibar na Vitengo 3 kama ifuatavyo:-

(i) Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi;

Majukumu ya Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi

(ii) Idara ya Daftari na TEHAMA;

Majukumu ya Idara ya Daftari na TEHAMA

(iii) Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura;

Majukumu ya Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura

(iv) Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu;

Majukumu ya Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu

(v) Idara ya Mipango Ufuatiliaji na Tathmini;

Majukumu ya Idara ya Mipango Ufuatiliaji na Tathmini

(vi) Idara ya Usimamizi wa Manunuzi na Lojistiki;

Majukumu ya Idara ya Usimamizi wa Manunuzi na Lojistiki

(vii) Kitengo cha Huduma za Sheria

Majukumu ya Kitengo cha Huduma za Sheria

(viii) Ofisi ya Zanzibar;

Majukumu ya Ofisi ya Zanzibar

(ix) Kitengo cha Fedha na Uhasibu; na

Majukumu ya Kitengo cha Fedha na Uhasibu; na

(x) Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani;

Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , , , , , , , , , , , ,

Comments (7)

Trackback URL | Comments RSS Feed

 1. Munira Mohd says:

  Nataka kujiunga kuwaandikisha watu katika daftari la kudumu la mpiga kura

  • Monica says:

   Nauliza namm je Kama upo mbali na dodoma hayo maombi unatuma vip maana sijaona hata email

 2. Anthony michael mazuri says:

  Niko mbali na dodoma nitaandika barua then nipeleke wapi na email haijatumwa?????

 3. Jackson paul says:

  Nahitaji kujiunga kuandikisha watu nipo kibaha

 4. Jackson paul says:

  Nahitaji kazi ya kuandikisha watu nipo kibaha

 5. Jackson paul says:

  Nahitaji kazi ya kuandikisha watu

 6. John paulo says:

  Nahitaji kazi ya kuandikisha watu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *