Mkuu wa Wilaya Longido atenguliwa
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Mkuu wa Wilaya Longido atenguliwa
Rais Dkt: Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Longido (DC), Marco Ng’umbi baada ya kuhudumu kwa mwaka mmoja na miezi minane katika wilaya hiyo.