MO Dewji amteua Crescentius Magori
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MO Dewji amteua Crescentius Magori
MO Dewji amteua Crescentius Magori,
Rais wa Heshima klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo‘ ametangaza Wajumbe wapya wa Bodi ya Wakurugenzi kuziba nafasi za Wajumbe waliojiuzulu
Hii hapa orodha Kamili ya Wajumbe walioteuliwa na Mo Dewji;
- Crescentius Magori
- Hussein Kita
- Salim Abdallah ‘Try Again’
- Mohammed Nassor
- Zurfikar Chandu
- Rashid Shangazi
Wajumbe hawa watahudumu upande wa Mwekezaji
BONYEZA HAPA KUTAZAMA UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI KWA UPANDE WA MWEKEZAJI
MO Dewji amteua Crescentius Magori