RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MO Dewji arejea Simba kama Mwenyekiti

Filed in Michezo by on 12/06/2024 0 Comments

MO Dewji arejea Simba kama Mwenyekiti

MO Dewji arejea Simba kuwa Mwenyekiti

MO Dewji arejea Simba kama Mwenyekiti

BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO YA MO DEWJI AKITANGAZA KUREJEA SIMBA KAMA MWENYEKITI WA BODI

Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji ‘Mo’, amerejea Simba kama Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC akiwa na ari na nguvu mpya huku akiahidi kujenga Simba itakayotisha Afrika.

Mo ameahidi kushirikiana na viongozi wenzake kufanya usajili bora kabisa na kuboresha benchi la ufundi ambalo amesema kuwa kwa miaka mitatu eneo hilo limekuwa halifanyi vizuri.

Amesema kinachoitafuna Simba ni pamoja na kukosa umoja tangu ulipomalizika uchaguzi hivyo akawataka wana Simba kuwa “Nguvu Moja” kama ilivyo kaulimbiu yao na kuacha manung’uniko, ngebe, kejeli na vijembe.

Aidha ameahidi kuboresha miundombinu ya Kiwanja cha Bunju, kuinua vipaji, kuongeza wanachama huku akigusia uteuzi wa wajumbe wa Bodi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *