KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Filed in Michezo by on 12/06/2024 0 Comments

MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026

MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Msimamo Kundi (E) la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia, Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 | World Cup,Msimamo Kufuzu AFCON, Makundi ya AFCON 2023, Msimamo kundi E kufuzu fifa world cup 2026 line, Makundi ya kufuzu kombe la dunia 2026 afrika, Kundi e kufuzu kombe la dunia, Msimamo kundi la Taifa Stars, Msimamo Wa AFCON 2023, Kundi la Taifa Stars Kufuzu AFCON 2023.MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Msimamo Kundi (E) la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia, Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 | World Cup,Msimamo Kufuzu AFCON, Makundi ya AFCON 2023, Msimamo kundi E kufuzu fifa world cup 2026, Makundi ya kufuzu kombe la dunia 2026 afrika, Kundi e kufuzu kombe la dunia, Msimamo kundi la Taifa Stars.

TIMU ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepangwa Kundi E pamoja na Morocco, Zambia, Kongo, Niger na Eritrea katika mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia zitakazoandaliwa kwa pamoja na Canada, Mexico na Marekani.

Michezo ya kuwania hatua hiyo itachezwa kwa muda wa miaka miwili ambapo michezo ya kwanza itakuwa kati ya November 13 na 21 na itahitimishwa November 2025.

MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Msimamo Kundi (E) la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia, Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 | World Cup,Msimamo Kufuzu AFCON, Makundi ya AFCON 2023, Msimamo kundi E kufuzu fifa world cup 2026, Makundi ya kufuzu kombe la dunia 2026 afrika, Kundi e kufuzu kombe la dunia, Msimamo kundi la Taifa Stars.

MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Mashindano hayo ya 23 yatahusisha timu 48 badala ya 32 kama ilivyozoeleka, hivyo Afrika pamoja na vyama vingine vya Soka vitapata nchi washiriki zaidi.

Kutokana na mabadiliko hayo, Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2026 yataundwa na Makundi 12, kila kundi likiwa na timu nne ambapo itashuhudia idadi ya michezo ikiongezeka kutoka 64 hadi 104 na Mashindano yatachukua kati ya siku 38 hadi 40.

Washindi wa pili Bora wanne watamenyana katika michuano mdogo na kinara atakamilisha idadi ya timu 10 zitakazoiwakilisha Afrika kwenye Kombe lijalo la Dunia.

CAF yatangaza mfumo mpya wa kufuzu kombe la dunia 2026,Kombe la dunia 2026: Tanzania mikononi mwa Morocco,Safari ya Tanzania Kombe la Dunia 2026,Stars kundi E kufuzu Kombe la Dunia,Makundi Kufuzu Kombe la Dunia 2026,Dira ya dunia,Habari za dunia.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *