MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026
MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Msimamo Kundi (E) la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia, Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 | World Cup,Msimamo Kufuzu AFCON, Makundi ya AFCON 2023, Msimamo kundi E kufuzu fifa world cup 2026, Makundi ya kufuzu kombe la dunia 2026 afrika, Kundi e kufuzu kombe la dunia, Msimamo kundi la Taifa Stars.
TIMU ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepangwa Kundi E pamoja na Morocco, Zambia, Kongo, Niger na Eritrea katika mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia zitakazoandaliwa kwa pamoja na Canada, Mexico na Marekani.
Michezo ya kuwania hatua hiyo itachezwa kwa muda wa miaka miwili ambapo michezo ya kwanza itakuwa kati ya November 13 na 21 na itahitimishwa November 2025.
Mashindano hayo ya 23 yatahusisha timu 48 badala ya 32 kama ilivyozoeleka, hivyo Afrika pamoja na vyama vingine vya Soka vitapata nchi washiriki zaidi.
Kutokana na mabadiliko hayo, Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2026 yataundwa na Makundi 12, kila kundi likiwa na timu nne ambapo itashuhudia idadi ya michezo ikiongezeka kutoka 64 hadi 104 na Mashindano yatachukua kati ya siku 38 hadi 40.
CAF yatangaza mfumo mpya wa kufuzu kombe la dunia 2026,Kombe la dunia 2026: Tanzania mikononi mwa Morocco,Safari ya Tanzania Kombe la Dunia 2026,Stars kundi E kufuzu Kombe la Dunia,Makundi Kufuzu Kombe la Dunia 2026,Dira ya dunia,Habari za dunia.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League 2023/2024)
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Kundi e kufuzu kombe la dunia, Kundi la Taifa Stars Kufuzu AFCON 2023., Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 | World Cup, Makundi ya AFCON 2023, Makundi ya kufuzu kombe la dunia 2026 afrika, Msimamo Kufuzu AFCON, Msimamo Kundi (E) la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia, Msimamo kundi E kufuzu fifa world cup 2026 line, MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Msimamo kundi la Taifa Stars, Msimamo Wa AFCON 2023