MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake 2023/2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake 2023/2024
MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake 2023/2024, Msimamo Tanzania Women’s Premier League 2023/2024, Tanzania Women’s Premier League 2023/2024, Msimamo Ligi ya Wanawake 2023/2024, Msimamo Tanzania Women’s Premier League 2024, Msimamo Ligi ya Wanawake 2023-2024, TWPL Standing.
Ligi Kuu ya Wanawake ya Tanzania, Maarufu Tanzania Women’s Premier League (TWPL), ni ligi kuu ya soka ya wanawake nchini Tanzania.
Katika Makala hii Nijuze Habari tutakuwa tukitoa taarifa za hivi punde kuhusu Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Tanzania 2023/2024 (Msimamo Tanzania Women’s Premier League 2023/2024)
MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Women’s Premier League 2023/2024) hadi June 14-2024
Mashindano haya yanasimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Ligi hiyo ya wanawake ya Tanzania Bara ilichezwa Kwa mara ya Kwanza msimu wa 2016-17.
Mshindi wa wa kwanza kubeba Ubingwa wa Ligi hiyo alikuwa Mlandizi Queens.SIMAMO NBC Premier League 2023/2024
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambalo awali lilikuwa Chama cha Soka Tanzania, ndicho chombo kinachosimamia soka nchini Tanzania.
Wakati soka la wanawake likiendelea kupewa kipaumbele nchini Tanzania, vilabu mbalimbali kwa sasa vimeanza kuwekeza kwenye timu za wanawake, ambazo baadhi zimeanza na mambo makubwa, kama vile Simba Queen, ambayo iliweza kufuzu ligi ya mabingwa wa Afrika CAF.
Ili kuhakikisha maendeleo ya soka la wanawake, TFF imeanzisha Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania inayoshirikisha vilabu kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania.
Hakika Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024 itakuwa ni miongoni mwa ligi za wanawake zenye ushindani mkubwa Afrika Mashariki, hii inatokana na uwekezaji unaofanywa hivi karibuni na vilabu mbalimbali vya Tanzania na pia uwepo wa wachezaji wanawake wenye vipaji
Ligi hiyo msimu huu wa 2023/2024 inashirikisha timu 10, ambazo ni Alliance Girls, Amani Queens, Baobab Queens, Ceasiaa Queens, Fountain Gate Princess, JKT Queens, Simba Queens, Yanga Princess, Geita Gold Queens na Bunda Queens.
TFF Inasimamia uendeshaji wa mfumo wa ligi ya soka ya Tanzania, timu ya taifa ya kandanda ya Tanzania, na timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania.
Ilianzishwa mwaka 1945 na imekuwa ikishirikiana na FIFA tangu 1964.Wallace Karia ndiye Rais wa sasa wa Shirikisho la Soka Tanzania kuanzia 2017.
MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake 2023/2024, Msimamo Ligi ya Wanawake 2023/2024, Msimamo Tanzania Women's Premier League 2024, Msimamo Tanzania Women’s Premier League 2023/2024, Tanzania Women’s Premier League 2023/2024, TWPL Standing.