RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MSIMAMO wa Makundi Cecafa Kagame Cup 2024

Filed in Michezo by on 13/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MSIMAMO wa Makundi Cecafa Kagame Cup 2024

MSIMAMO wa Makundi Cecafa Kagame Cup 2024,Msimamo Cecafa Kagame Cup 2024,Kagame Interclub Cup 2024,Dar Port Kagame 2024, CECAFA Kagame Cup, Msimamo Kundi A Cecafa Kagame Cup 2024, Msimamo Kundi B Cecafa Kagame Cup 2024,Msimamo Kundi C Cecafa Kagame Cup 2024.

MSIMAMO wa Makundi Cecafa Kagame Cup 2024

MSIMAMO wa Makundi Cecafa Kagame Cup 2024,Msimamo Cecafa Kagame Cup 2024,Kagame Interclub Cup 2024,Dar Port Kagame 2024, CECAFA Kagame Cup, Msimamo Kundi A Cecafa Kagame Cup 2024, Msimamo Kundi B Cecafa Kagame Cup 2024,Msimamo Kundi C Cecafa Kagame Cup 2024.

Michuano ya klabu Bingwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati CECAFA Kagame Cup 2024 yameanza Kutimia Vumbi Katika Viwanja Vya KMC na Azam Complex leo Julai 9.

Mashindano hayo ambayo yamebatizwa jina Dar Port Kagame Cup 2024 yatafikia tamati July 21-2024 Jijini Dar es Salaam.

Huu hapa ni Msimamo Kamili wa Kundi A, Kundi B na C,Msimamo wa Makundi CECAFA Kagame Cup 2024 (Dar Port Kagame Cup 2024).

👉Group A
1:Al Wadi | Pointi 06 | mechi 02.
2:JKU SC | Pointi 03 | mechi 02.
3:Coastal Union | Pointi 03 | mechi 02.
4:Dekadaha | Ponti 00 | mechi 02.

👉Group B
1:Al Hilal | Ponti 06 | Mechi 02.
2:Red Arrows | Pointi 03 |Mechi 02.
3:Gor Mahia | Ponti 01 | Mechi 02.
4: Djibouti | Ponti 01 | Mechi 02.

👉Group C
1:APR FC | Ponti  06 | Mechi 02.
2:SC Villa | Ponti 04 | Mechi 02.
4:El Mereikh | Ponti 01 | Mechi 02.
4:Singida BS | Ponti 00 | Mechi 02.

CECAFA Club Cup ni Mashindano ya Klabu Bingwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati CECAFA Kagame Cup  yanayoandaliwa na CECAFA.

Yanajulikana kama Kombe la Kagame Interclub tangu 2002, wakati Rais wa Rwanda Paul Kagame alipoanza kudhamini mashindano hayo.

Mashindano hayo yalianza mwaka 1967, baada ya yalisimamishwa hadi 1974.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , ,

Comments are closed.