RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NACTVET Majina ya Waliochaguliwa Vyuo vya Afya 2024/2025

Filed in Ajira by on 11/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NACTVET Majina ya Waliochaguliwa Vyuo vya Afya 2024/2025

NACTVET Majina ya Waliochaguliwa Vyuo vya Afya 2024/2025, Matokeo ya Udahili Vyuo vya Afya 2024/2025, NACTVET Matokeo ya Udahili Vyuo vya Afya 2024/2025,MATOKEO YA UCHAGUZI WAUDAHILI KWA KOZI ZA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI KUPITIA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025.

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linautangazia Umma matokeo ya uchaguzi wa awamu ya kwanza kwa walioomba kujiunga na programu za Afya na Sayansi Shirikishi kwa mwaka wa masomo 2024/2025.

Jumla ya waombaji 24,629 waliwasilisha maombi yao kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS).

Waombaji 23,503 walikamilisha maombi yao kwa kuchagua vyuo/programu walizozipenda.

Waombaji 21,661 walikuwa na sifa kwenye programu walizoomba na waombaji 1,842 hawakuwa na sifa kwenye programu walizoomba,NACTVET Matokeo ya Waliochaguliwa Vyuo vya Afya na Sayansi Shirikishi 2024/2025.

Jumla ya waombaji 16,646 wamechaguliwa kujiunga kwenye vyuo 221 vinavyotoa programu mbalimbali za Afya na Sayansi Shirikishi ambapo wanawake 8,821 (53%) na wanaume 7,825 (47%).

Aidha, waombaji wenye sifa ambao hawakuchaguliwa kutokana na ushindani katika programu na vyuo walivyoomba wanashauriwa kuomba kujiunga katika programu na vyuo vyenye nafasi katika dirisha la awamu ya pili kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja.

MATOKEO YA UDAHILI KWA KOZI ZA AFYA AWAMU YA KWANZA

Waombaji wote wanaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi kupitia tovuti ya Baraza (www.nactvet.go.tz) kwa kubonyeza CAS Selection 2024 kwaajili ya kupata taarifa zaidi.

Aidha, Baraza linautaarifu umma kuwa dirisha la awamu ya pili limefunguliwa rasmi leo tarehe 11/07/2024 na litakuwa wazi hadi tarehe 10/08/2024, matokeo ya uchaguzi yatatolewa tarehe 16/08/2024.

NACTVET Matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na kozi za Afya 2024

NACTVET Majina ya Waliochaguliwa Vyuo vya Afya 2024/2025, Matokeo ya Udahili Vyuo vya Afya 2024/2025, NACTVET Matokeo ya Udahili Vyuo vya Afya 2024/2025,MATOKEO YA UCHAGUZI WAUDAHILI KWA KOZI ZA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI KUPITIA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025.

NACTVET Majina ya Waliochaguliwa Vyuo vya Afya 2024/2025

Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Waliochaguliwa Vyuo vya Afya NACTVET 2024/2025.

  1. Tembelea tovuti ya NACTVET: Anza kwa kufungua kivinjari chako na tembelea tovuti rasmi ya NACTVET kwa anwani ifuatayo: https://www.nactvet.go.tz/.
  2. Nenda kwenye Sehemu ya Matokeo “CAS Selection 2024”: Mara baada ya kufika kwenye ukurasa wa kwanza wa tovuti, tafuta na bofya sehemu iliyoandikwa ‘Matokeo ya Udahili‘.
  3. Chagua Mwaka wa Masomo: Katika ukurasa wa matokeo, chagua mwaka wa masomo 2024-2025 ili kupata matokeo ya sasa.
  4. Weka Taarifa Zako: Weka taarifa zako binafsi kama vile namba ya udahili au jina lako kamili katika sehemu husika.
  5. Bofya Kitufe cha Kutafuta: Baada ya kuweka taarifa zako, bofya kitufe cha ‘Tafuta’ au ‘Search’ ili kuona matokeo yako.
  6. Pakua na Kuchapisha: Ukishapata matokeo yako, unaweza kuyapakua na kuyachapisha kwa ajili ya kumbukumbu na hatua zaidi.

DONWLOAD PDF DOCUMENT

CAS Selection 2024, kujiunga na vyuo, majina ya waliochaguliwa kozi za afya, nacte selections za vyuo vya afya, selection vyuo vya afya, vyuo vya afya 2024,Vyuo vya afya 2024/25,NACTE: Selected Applicants to Join Health Colleges 2024.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.