RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NACTVET Yafanya Maboresho Mifumo ya Kieletroniki

Filed in EDUCATION by on 02/08/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NACTVET Yafanya Maboresho Mifumo ya Kieletroniki

NACTVET Yafanya Maboresho Mifumo ya Kieletroniki

NACTVET Yafanya Maboresho Mifumo ya Kieletroniki

NACTVET Yafanya Maboresho Mifumo ya Kieletroniki,Taarifa kwa Umma Kuhusu Maboresho ya Mifumo ya Kieletroniki Ya NACTVET.

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuutaarifu umma kuwa kutokana na mabadiliko ya mawasiliano kutoka kwa mtoa huduma za mtandao wa Baraza (Internet Service Provider), kutakuwa na nyakati za kutopatikana kwa baadhi ya huduma za kimtandao kuanzia tarehe 11 hadi 17 Agosti, 2024.

Lengo ni kuhakikisha huduma za kimtandao zinapatikana kwa ufasaha na kwa wakati.

Huduma zitakazoathirika ni pamoja na:

  • Mfumo wa Udahili wa Pamoja (Central Admission System);
  • Mfumo wa Ulinganifu wa Tuzo (Foreign Awards Evaluation System);
  • Mfumo wa Uombaji Hati ya Matokeo (Transcript Request System); na
  • Huduma zinazohusiana na malipo mbalimbali.

Baraza linasisitiza wadau kuomba huduma katika mifumo tajwa hapo juu mapema kabla ya tarehe 11 Agosti, 2024.

Baraza linawahakikishia kwamba maboresho hayo yatakamilika ndani ya muda uliopangwa ili kurejesha huduma zote katika hali ya kawaida.

Baraza linaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.

NACTVET TAARIFA KWA UMMMA KUHUSU MABORESHO YA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI

NACTVET TAARIFA KWA UMMMA KUHUSU MABORESHO YA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.