RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 103 za Mteknolojia wa Radiografa July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 103 za Mteknolojia wa Radiografa July 07-2024

NAFASI 103 za Mteknolojia wa Radiografa July 07-2024,Nafasi za Kazi za Mteknolojia wa Radiografa Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 103 za Mteknolojia wa Radiografa Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Mteknolojia wa Radiografa Kutoka Tamisemi July 07-2024.

POST MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II – RADIOLOJIA (RADIOGRAPHY TECHNOLOGIST II – RADIOLOGY) – 103 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi
  • Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi
  • Kukagua picha za X-Ray zilizopimwa kwa ubora na kutosheleza (diagnostic quality)
  • Kutunza picha za wagonjwa hadi majibu yanapowafikia madaktari waliowatuma wagonjwa
  • Kusimamia watumishi walio chini yake
  • Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya na kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la kazi.
  • Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization)
  • Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.

NAFASI 103 za Mteknolojia wa Radiografa July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.