RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 105 za Msaidizi Afya ya Mazingira July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 105 za Msaidizi Afya ya Mazingira July 07-2024

NAFASI 105 za Msaidizi Afya ya Mazingira July 07-2024,Nafasi za Kazi za Msaidizi Afya ya Mazingira Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 105 za Msaidizi Afya ya Mazingira Kada ya Afya TAMISEMI July 2024, Nafasi za Kazi za Msaidizi Afya ya Mazingira July 07-2024.

POST MSAIDIZI AFYA YA MAZINGIRA II (ENVIROMENTAL HEALTH ASSISTANT II) – 105 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa.
  • Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa.
  • Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza.
  • Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika.
  • Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili.
  • Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii.
  • Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii.
  • Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo.
  • Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira.
  • Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Astashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

NAFASI 105 za Msaidizi Afya ya Mazingira July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.