RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 1082 za Msaidizi wa Afya July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 1082 za Msaidizi wa Afya July 07-2024

NAFASI 1082 za Msaidizi wa Afya Wizara ya Afya July 2024,Nafasi za Kazi za Msaidizi wa Afya Kutoka Mikoa Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 1082 za Msaidizi wa Afya Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Msaidizi wa Afya Kutoka TAMISEMI July 07-2024.

NAFASI 1082 za Msaidizi wa Afya July 07-2024

NAFASI 1082 za Msaidizi wa Afya July 07-2024,Nafasi za Kazi za Msaidizi wa Afya Kutoka Mikoa Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 1082 za Msaidizi wa Afya Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Msaidizi wa Afya Kutoka TAMISEMI July 07-2024.

POST MSAIDIZI WA AFYA (HEALTH ASSISTANT) – 1082 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kuchukua Sampuli za Maji na Chakula na kuzipeleka kwa afisa afya mazingira au afisa afya mazingira msaidizi
  • Kutambua na kuweka kumbukumbu ya vyanzo vya maji
  • Kuandaa ramani ya maeneo yenye uchafuzi wa maji ili kuchukua hatua zinazotakiwa
  • Kushirikiana na kamati za maji za vijiji, na mitaa katika kuhakikisha usalama wa vyanzo vya maji
  • Kuhamasisha jamii kulinda vyanzo vya maji
  • Kuhamasisha jamii kujenga na kutumia vyoo bora
  • Kusaidia kuuelimisha jamii kuhusu tabia njema za usafi
  • Kutoa taarifa za milipuko ya magonjwa kwa mkuu wake kazi
  • Kuhamasisha jamii kubuni, kupanga, kutekeleza na kusimamia mipango shirikishi jamii ya afya ya mazingira
  • Kufanya ukaguzi wa nyumba kwa nyumba
  • Kufanya ukaguzi wa nyumba za kuishi na biashara
  • Udhibiti wa taka hatari zikiwamo taka zitokanazo na huduma za afya
  • Kusimamia sheria ndogondo za afya mazingira na;
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne wenye cheti cha mafunzo ya Msaidizi wa Afya au Fundi Sanifu Afya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

NAFASI 1082 za Msaidizi wa Afya July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.