RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 11 za Afisa Fiziotherapia July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 11 za Afisa Fiziotherapia July 07-2024

NAFASI 11 za Afisa Fiziotherapia July 07-2024,Nafasi za Kazi za Afisa Fiziotherapia Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 11 za Afisa Fiziotherapia Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Fiziotherapia Tamisemi July 07-2024.

POST AFISA FIZIOTHERAPIA DALAJA LA II (PHYSIOTHERAPY OFFICER II) – 11 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kufanya kazi zote za Mfiziotherapia hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, wazee,na wote waliolazwa.
  • Kuchunguza mgonjwa, kupanga matibabu kulingana na tatizo la mgonjwa na kufuatilia hali ya mgonjwa husika.
  • Kutoa ushauri wa tiba na rufaa ya mgonjwa kwa kada nyingine za afya kulingana na tatizo la mgonjwa.
  • Kutoa na kusimamia elimu ya Fiziotherapia, Utengamao na tiba na kuboresha afya ya mwili na viungo katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi.
  • Kutoa Ushauri nasaha wa Utengamao kwa wagonjwa katika jamii (CBR).
  • Kutunza takwimu za wagonjwa wa Fiziotherapia na watu wenye ulemavu na kuzitumia kama ilivyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
  • Kutathimini huduma za Fiziotherapia na Utengamao katika eneo lake la kazi.
  • Kusimamia na kuelekeza watumishi walio chini yake.
  • Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za Fiziotherapia katika eneo la kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Fiziotherapia (BSc. in Physiotherapy) kutoka Vyuo Vikuu Vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili (Full Registration) kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika.

NAFASI 11 za Afisa Fiziotherapia July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.