NAFASI 11 za Mhandisi Vifaa Tiba July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 11 za Mhandisi Vifaa Tiba July 2024
NAFASI 11 za Mhandisi Vifaa Tiba July 2024,Nafasi za Kazi za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 11 za Mhandisi Vifaa Tiba Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Tamisemi July 07 2024.
POST MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 11 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kufanya kazi za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya Wilaya (Electronical Equipments).
- Kutunza kumbukumbu za kazi za ufundi na matengenezo ya vifaa tiba.
- Kufanya matengenezo ya kinga ya vifaa tiba.
- Kuagiza vipuli vya vifaa tiba.
- Kuandaa bajeti ya huduma za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya wilaya.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa waliohitimu wenye Shahada ya Sayansi ya Uhandisi (Vifaa Tiba) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Bodi ya Wahandisi Tanzania.
NAFASI 11 za Mhandisi Vifaa Tiba July 2024
POST: MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 3 POST Employer: Mkoa wa Kagera More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 1 POST Employer: Mkoa wa Mara More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 2 POST Employer: Mkoa wa Mbeya More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 1 POST Employer: Mkoa wa Morogoro More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 1 POST Employer: Mkoa wa Mtwara More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 2 POST Employer: Mkoa wa Mwanza More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 1 POST Employer: Mkoa wa Simiyu More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira 11 za Mhandisi Vifaa Tiba Kada ya Afya July 2024, NAFASI 11 za Mhandisi Vifaa Tiba July 2024, Nafasi za Kazi za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Nafasi za Kazi za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Tamisemi July 07 2024.