NAFASI 11 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Mwanza July 05-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 11 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Mwanza July 05-2024
NAFASI 11 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Mwanza July 05-2024, Ajira Mpya za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Mwanza July 05-2024, Nafasi za Kazi za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Mwanza July 05-2024.
MTEKNOLOJIA MAABARA II – ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 11 POST |
Mkoa wa Mwanza |
2024-07-06 2024-07-19 |
N/A |
i. Kupima sampuli zinazoletwa maabara. ii. Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu. iii. Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya kemikali. iv. Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi. v. Kufundisha watumishi walio chini yake. vi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake |
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Maabara za afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalam wa Maabara. |
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara y |
POST: MTEKNOLOJIA MAABARA II – ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 11 POST Employer: Mkoa wa Mwanza More Details |
2024-07-19 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira Mpya za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Mwanza July 05-2024, NAFASI 11 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Mwanza July 05-2024, Nafasi za Kazi za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Mwanza July 05-2024.