NAFASI 12 za Msaidizi Maendeleo Ya Jamii Wilaya ya Muleba July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 12 za Msaidizi Maendeleo Ya Jamii Wilaya ya Muleba July 2024
NAFASI 12 za Msaidizi Maendeleo Ya Jamii Wilaya ya Muleba July 2024
POST MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – 12 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
APPLICATION TIMELINE: 2024-07-24 2024-08-06
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo katika eneo lake,
- Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala ya maendeleo katika eneo lake
- Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo.
- Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake;
- Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi,
- Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo.
- Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia fursa na rasilimali zinazowazunguka.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.
REMUNERATION TGSB
POST: MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – 12 POST Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Muleba More Details |
2024-08-06 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NAFASI 12 za Msaidizi Maendeleo Ya Jamii July 2024, NAFASI 12 za Msaidizi Maendeleo Ya Jamii Wilaya ya Muleba July 2024