NAFASI 124 za Afisa Afya Mazingira July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 124 za Afisa Afya Mazingira July 2024
NAFASI 124 za Afisa Afya Mazingira July 2024,Nafasi za Kazi za Afisa Afya Mazingira Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 124 za Afisa Afya Mazingira Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Afya Mazingira TAMISEMI July 06 2024.
POST AFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL HEALTH OFFICER II) – 124 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kutoa ushauri na kusimamia njia bora za usambazaji wa maji safi na salama na utupaji wa taka.
- Kuelimisha jamii juu ya mbinu za kujikinga na kupambana na mlipuko ya magonjwa.
- Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira.
- Kusimamia utekelezaji wa Sheria zinazohusu Afya ya Mazingira.
- Kuandaa taarifa za utekelezaji na kuziwasilisha katika mamlaka husika.
- Kuandaa na kufuatilia mikakati ya kuboresha na kusimamia usalama na afya kazini.
- Kuhakiki afya bandarini na mipakani.
- Kuratibu na kuhakiki kaguzi za vyakula, maji, kemikali, viwanda, sehemu za kazi na maeneo ya jumuiya.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwaza ya Sayansi za Afya ya Mazingira na mafunzo kazini kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na wawe wamesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya ya Mazingira.
NAFASI 124 za Afisa Afya Mazingira July 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira 124 za Afisa Afya Mazingira Kada ya Afya Tanzania July 2024, NAFASI 124 za Afisa Afya Mazingira July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Afya Mazingira Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Afya Mazingira TAMISEMI July 06 2024.