RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024

NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024,Nafasi za Kazi za Mfamasia Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 128 za Mfamasia Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Mfamasia Kutoka Tamisemi July 07-2024.

NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024

NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024,Nafasi za Kazi za Mfamasia Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 128 za Mfamasia Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Mfamasia Kutoka Tamisemi July 07-2024.

POST MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 128 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kuainisha mahitaji ya dawa na vifaa na kuandaa bajeti yake.
  • Kuagiza,kununua,kuhifadhi na kusambaza dawa na vifaa tiba katika kituo chake cha kazi.
  • Kuweka kumbukumbu za dawa.
  • Kuandaa orodha ya dawa za hospitali (Hospital Fomulary) kwa matumizi ya kituo anapofanya kazi.
  • Kutoa dawa na vifaa tiba kwa wagonjwa.
  • Kusimamia matumizi sahihi ya dawa.
  • Kutengeneza dawa(compounding) kwa matumizi ya kituo anapofanya kazi.
  • Kukagua maduka ya dawa katika sekta binafsi.
  • Kutoa taarifa juu ya madhara yanayotokana na matumizi ya dawa (Adverse drug reaction).
  • Kuwa katibu wa kamati Tiba ya Hospitali (Hospital Therapeutic Commitee) anapofanya kazi.
  • Kuelimisha watumishi walio chini yake, watumishi wengine wa sekta ya afya na jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa.
  • Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Dawa katika kituo anapofanya kazi.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye shahada ya Famasi kutokachuo kinachotambuliwa na Serikaliwaliohitimu mafunzo ya vitendo kazini (Internship) ya mwaka mmoja ambao wamesajiliwa na Baraza la Famasi.

NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.