RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 128 za Mteknolojia Dawa July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 128 za Mteknolojia Dawa July 07-2024

NAFASI 128 za Mteknolojia Dawa July 07-2024,Nafasi za Kazi za Mteknolojia Dawa Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 128 za Mteknolojia Dawa Kutoka Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Mteknolojia Dawa Kutoka Tamisemi July 07-2024.

POST MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA II – (TECHNOLOGIST PHARMACY II) – 128 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kuainisha, kuandaa na kuagiza mahitaji ya dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi.
  • Kugawa dawa na vifaa tiba kwa wagonjwa na watumishi
  • Kuchanganya dawa
  • Kuhifadhi dawa na vifaa tiba
  • Kuelimisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya dawa
  • Kukagua dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi katika eneo lake la kazi
  • Kutoa taarifa juu ya madhara yatokanayo na matumizi ya dawa.
  • Kuratibu kazi za kamati ya dawa ya hospital
  • Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba
  • Kufanya uchunguzi wa ubora wa dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi
  • Kufanya kaguzi mbalimbali katika sehemu zinazohifadhi dawa.
  • Kusimamia utendaji wa kazi watumishi walio chnini yake
  • Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Dawa kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Famasi.

NAFASI 128 za Mteknolojia Dawa July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.