NAFASI 129 za Afisa Lishe July 07-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 129 za Afisa Lishe July 07-2024
NAFASI 129 za Afisa Lishe July 07-2024, Nafasi za Kazi za Afisa Lishe Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 129 za Afisa Lishe Kutoka Tamisemi July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Lishe Kada ya Afya July 07-2024.
POST AFISA LISHE DARAJA LA II (NUTRITION OFFICER II) – 129 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kukusanya taarifa na takwimu za lishe kutoka kwa wadau na makundi mbalimbali na kutoa ushauri kuhusu lishe bora katika ngazi ya wilaya.
- Kuchambua takwimu za lishe na kuandaa taarifa ya watoto na makundi mengine yenye lishe duni.
- Kushiriki katika kuandaa mipango na bajeti ya lishe katika ngazi ya wilaya.
- Kutoa taarifa za mara kwa mara za hali ya lishe katika ngazi ya wilaya.
- Kusimamia kazi za lishe katika wilaya.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
- Kutoa taarifa za mara kwa mara za hali ya lishe katika ngazi ya wilaya.
- Kusimamia kazi za lishe katika wilaya.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Lishe au Sayansi ya Chakula na teknolojia au Sayansi ya Chakula na teknolojia au Sayansi ya Chakula (BSc.Nutrition, Home Economics and Nutrition, Food Science and Technology and Food Science).
NAFASI 129 za Afisa Lishe July 07-2024
POST: AFISA LISHE DARAJA LA II (NUTRITION OFFICER II) – 2 POST Employer: Mkoa wa Songwe More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA LISHE DARAJA LA II (NUTRITION OFFICER II) – 3 POST Employer: Mkoa wa Tanga More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira 129 za Afisa Lishe Kutoka Tamisemi July 2024, NAFASI 129 za Afisa Lishe July 07-2024, Nafasi za Kazi za Afisa Lishe Kada ya Afya July 07-2024., Nafasi za Kazi za Afisa Lishe Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024