NAFASI 146 za Mteknologia Msaidizi July 07-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 146 za Mteknologia Msaidizi July 07-2024
NAFASI 146 za Mteknologia Msaidizi July 07-2024,Nafasi za Kazi za Mteknologia Msaidizi Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 146 za Mteknologia Msaidizi Kada ya Afya TAMISEMI July 2024, Nafasi za Kazi za Mteknologia Msaidizi July 07-2024.
POST MTEKNOLOGIA MSAIDIZI DARAJA LA II – MAABARA (ASSISTANT LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 146 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kuandaa vitendanishi (reagents) vya kufanyia vipimo vya Maabara.
- Kufanya kazi za awali sampuli zinazoletwa maabara.
- Kukusanya damu kutoka kwa wagonjwa na watu wanaojitolea.
- Kurekodi matokeo ya vipimo kwenye regista.
- Kutayarisha vifaa vya kazi.
- Kuhifadhi kwa mujibu wa taratibu sampuli zote zinazohitaji kuhifadhiwa baada ya uchunguzi.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Muombaji mwenye cha Astashahada katika fani za Maabara kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Wataalam wa Maabara.
NAFASI 146 za Mteknologia Msaidizi July 07-2024
POST: MTEKNOLOGIA MSAIDIZI DARAJA LA II – MAABARA (ASSISTANT LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 10 POST Employer: Mkoa wa Arusha More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira 146 za Mteknologia Msaidizi Kada ya Afya TAMISEMI July 2024, NAFASI 146 za Mteknologia Msaidizi July 07-2024, Nafasi za Kazi za Mteknologia Msaidizi July 07-2024., Nafasi za Kazi za Mteknologia Msaidizi Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024