SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 04/03/2024 0 Comments

NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024

NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali UTUMISHI Zanzibar March 2024,Tangazo la Nafasi za Kazi kwa Taasisi mbali mbali Zanzibar March 2024.

NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024

NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali UTUMISHI Zanzibar March 2024,Tangazo la Nafasi za Kazi kwa Taasisi mbali mbali Zanzibar March 2024.

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo, Kamisheni ya Utalii Zanzibar na Afisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar kama ifuatavyo:-

1: WIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO

Afisa Kilimo Daraja la II ZPSF-02 “Nafasi 1” – Unguja

SIFA ZA MUOMBAJI:

 1. Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
 2. Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Agriculture Education and Extention au Kilimo Mjumuisho (General Agriculture) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa kilimo Msaidizi Daraja la III ZPSD-03 “Nafasi 2” – Unguja na “Nafasi 3” – Pemba

SIFA ZA MUOMBAJI:

 • Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
 • Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Kilimo Mjumuisho (General Agriculture) au Uzalishaji wa Mazao kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisa Mifugo Msaidizi Daraja la III ZPSF-01 “Nafasi 1” – Unguja na “Nafasi 3” – Pemba

SIFA ZA MUOMBAJI:

 • Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
 • Awe amehitimu Stashahada ya Afya ya Wanyama na Uzalishaji au Sayansi ya Wanyama kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali

Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la III ZPSD-03 “Nafasi 1” – Unguja

SIFA ZA MUOMBAJI:

 • Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
 • Awe amehitimu Stashahada ya Ufugaji Nyuki kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Afisa Wanyama Pori Msaidizi Daraja la III ZPSD-03 “Nafasi 1” – Unguja

SIFA ZA MUOMBAJI:

 • Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
 • Awe amehitimu Stashahada katika fani ya utunzaji wa Wanyama pori kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisa Misitu Daraja la II ZPSF-02 “Nafasi 2” – Unguja

SIFA ZA MUOMBAJI:

 • Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
 • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Misitu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisa Usafiri Daraja la II ZPSF-02 “Nafasi 1” – Unguja

SIFA ZA MUOMBAJI:

 • Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
 • Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Usafirishaji kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali UTUMISHI Zanzibar March 2024,Tangazo la Nafasi za Kazi kwa Taasisi mbali mbali Zanzibar March 2024.2: KAMISHENI YA UTALII ZANZIBAR

Afisa Takwimu Daraja la II ZPSH-10 “Nafasi 1” – Unguja Sifa za Muombaji:

SIFA ZA MUOMBAJI:

 • Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
 • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Takwimu au Uchumi na Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
 • Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ajili ya mifumo mbali mbali ya ukusanyaji takwimu.

3: OFISI YA MUFTI MKUU WA ZANZIBAR

Msaidizi Afisa Mkalimani wa Lugha ya Alama Daraja la II ZPSH- 10 “Nafasi 1” – Unguja

SIFA ZA MUOMBAJI:

 • Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arubaini na sita 46.
 • Awe amehitimu Elimu ya Cheti cha Lugha ya Alama kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.

JINSI YA KUOMBA:

 • Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa Maombi ya Ajira (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 01 Machi, 2024 hadi tarehe 15 Machi, 2024.
 • Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.
 • Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of Results” pekee maombi yake hayatazingatiwa.
 • Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini kupitia simu Nam. 0773101012.

NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024

Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR

Nafasi za kazi utumishi zanzibar march 2024 salary,, Nafasi za kazi utumishi wa Umma zanzibar march 2024, Nafasi za kazi utumishi zanzibar march 2024 apply,Nafasi za kazi utumishi zanzibar march 2024 application, Ajira portal, Nafasi za Kazi Zanajira Zanzibar Leo, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *