NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024
NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali UTUMISHI Zanzibar March 2024,Tangazo la Nafasi za Kazi kwa Taasisi mbali mbali Zanzibar March 2024.
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo, Kamisheni ya Utalii Zanzibar na Afisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar kama ifuatavyo:-
1: WIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO
Afisa Kilimo Daraja la II ZPSF-02 “Nafasi 1” – Unguja
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Agriculture Education and Extention au Kilimo Mjumuisho (General Agriculture) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Afisa kilimo Msaidizi Daraja la III ZPSD-03 “Nafasi 2” – Unguja na “Nafasi 3” – Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Kilimo Mjumuisho (General Agriculture) au Uzalishaji wa Mazao kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Afisa Mifugo Msaidizi Daraja la III ZPSF-01 “Nafasi 1” – Unguja na “Nafasi 3” – Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Afya ya Wanyama na Uzalishaji au Sayansi ya Wanyama kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali
Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la III ZPSD-03 “Nafasi 1” – Unguja
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Ufugaji Nyuki kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Afisa Wanyama Pori Msaidizi Daraja la III ZPSD-03 “Nafasi 1” – Unguja
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Stashahada katika fani ya utunzaji wa Wanyama pori kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Afisa Misitu Daraja la II ZPSF-02 “Nafasi 2” – Unguja
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Misitu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Afisa Usafiri Daraja la II ZPSF-02 “Nafasi 1” – Unguja
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Usafirishaji kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2: KAMISHENI YA UTALII ZANZIBAR
Afisa Takwimu Daraja la II ZPSH-10 “Nafasi 1” – Unguja Sifa za Muombaji:
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Takwimu au Uchumi na Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
- Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ajili ya mifumo mbali mbali ya ukusanyaji takwimu.
3: OFISI YA MUFTI MKUU WA ZANZIBAR
Msaidizi Afisa Mkalimani wa Lugha ya Alama Daraja la II ZPSH- 10 “Nafasi 1” – Unguja
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arubaini na sita 46.
- Awe amehitimu Elimu ya Cheti cha Lugha ya Alama kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.
JINSI YA KUOMBA:
- Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa Maombi ya Ajira (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 01 Machi, 2024 hadi tarehe 15 Machi, 2024.
- Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.
- Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of Results” pekee maombi yake hayatazingatiwa.
- Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini kupitia simu Nam. 0773101012.
NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024
Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR
Nafasi za kazi utumishi zanzibar march 2024 salary,, Nafasi za kazi utumishi wa Umma zanzibar march 2024, Nafasi za kazi utumishi zanzibar march 2024 apply,Nafasi za kazi utumishi zanzibar march 2024 application, Ajira portal, Nafasi za Kazi Zanajira Zanzibar Leo, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NAFASI 18 za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali UTUMISHI Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi UTUMISHI Zanzibar March 2024, Tangazo la Nafasi za Kazi kwa Taasisi mbali mbali Zanzibar March 2024.
saudaomarali87@gmail.com