RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 14/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024

NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024, Tangazo la Kaz Nafasi za Udereva 2 Shule ya St Jude, Nafasi za Kazi za Udereva Tanzania, 2 Driver Job Vacancy at School of ST Jude February 2024.

NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024

NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024, Tangazo la Kaz Nafasi za Udereva 2 Shule ya St Jude, Nafasi za Kazi za Udereva Tanzania, 2 Driver Job Vacancy at School of ST Jude February 2024.

Shule ya St.Jude inayofuraha kutangaza nafasi mbili (2) za kazi ya Udereva kwa watanzania wenye sifa stahiki.

Kazi na Majukumu

  • Kuendesha magari ya shule kwa uangalifu na umakini
  • Kuwa makini na kukagua mara kwa mara gari ulilokabidihiwa kuhakikisha lipo salama kabla ya na wakati wa kuliendesha
  • Kutunza taarifa za gari/vipuri/mafuta na mabadiliko yoyote ikiwemo kujaza “log book” kwa usahihi na kwa kila tukio na safari za gari
  • Kuripoti kwa wakati muda wa gari kukarabatiwa na/au kwenda “service”
  • Kufuata taratibu sheria kanuni na miongozo ya usalama barabarani
  • Kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya shule na taasisi husika pale linapotokea tatizo kwa gari la shule unaloendesha
  • Kufuata mipangilio na ratiba za magari na maelekezo ya Dereva Mkuu kuhusu Route za magari
  • Kushiriki sikukuu na shughuli za kijamii za The School of St. Jude mara zipangwapo
  • Kutoa taarifa ya maandishi ikiwa gari unaloendesha litapata hitilafu au ajali itakayozuia safari iliyopangwa au ruti kuendelea.

Sifa za Mwombaji

  • Mwombaji ajue kusoma na kuandika
  • Mwombaji awe na Cheti cha Udereva kutoka kwenye chuo kinachotambulika
  • Mwombaji awe na leseni hai ya daraja “C”
  • Awe na uzoefu wa angalau miaka mitatu (3) ya kuendesha magari ya shule.
  • Mwombaji awe Mtanzania mwenye kitambulisho cha Taifa

Faida ya ziada

  • Ana cheti cha kuthibitisha ujuzi wa Kiingereza
  • Ujuzi wa kutumia kompyuta

NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024, Tangazo la Kaz Nafasi za Udereva 2 Shule ya St Jude, Nafasi za Kazi za Udereva Tanzania, 2 Driver Job Vacancy at School of ST Jude February 2024.Vigezo na Masharti
Mwombaji anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo kikamilifu

  • Aambatanishe barua ya uhakiki wa leseni kutoka polisi.
  • Aambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa na Maelezo binafsi (CV)
  • Aambatanishe barua kutoka kwa mtendaji au mwenyekiti wa mtaa
  • Aambatanishe barua kutoka kwa muajiri aliepita

Maombi yawasilishwe katika Shule ya St. Jude Moshono Kampasi kabla au mnamo Ijumaa, tarehe 23 Februari 2024.

Maombi yatakayowasilishwa baada ya tarehe na muda uliopangwa hayatafanyiwa kazi.

Shule Itawasiliana na wale Watakaokidhi Vigezo na Sifa kwaajili ya Mahojiano (Interview).

NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024 Download PDF

Angalizo:

Tafadhali kuwa Makini na Matendo ya Udanganyifu katika Matangazo ya Kazi na Mchakato wa Ajira.

Shule ya St Jude haiombi malipo yoyote Katika hatua yoyote ya Mchakato wa Kuajiri.

Maombi yoyote ya kulipishwa yakataliwe na kuripotiwa kwa Mamlaka ya Utekelezaji wa Sheria za Mitaa kwa hatua stahiki.

Shule ya St Jude ni shule inayotoa elimu ya hisani ndani ya Tanzania. St Jude’s inafadhiliwa na wafuasi wa ukarimu kutoka kote ulimwenguni ambao hufanya dhamira yetu ya kuwapa wanafunzi wa Kitanzania mahiri na wanaotoka kwenye mazingira ya kimaskini elimu bure na yenye ubora.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.