NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024
NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024, Tangazo la Kaz Nafasi za Udereva 2 Shule ya St Jude, Nafasi za Kazi za Udereva Tanzania, 2 Driver Job Vacancy at School of ST Jude February 2024.
Shule ya St.Jude inayofuraha kutangaza nafasi mbili (2) za kazi ya Udereva kwa watanzania wenye sifa stahiki.
Kazi na Majukumu
- Kuendesha magari ya shule kwa uangalifu na umakini
- Kuwa makini na kukagua mara kwa mara gari ulilokabidihiwa kuhakikisha lipo salama kabla ya na wakati wa kuliendesha
- Kutunza taarifa za gari/vipuri/mafuta na mabadiliko yoyote ikiwemo kujaza “log book” kwa usahihi na kwa kila tukio na safari za gari
- Kuripoti kwa wakati muda wa gari kukarabatiwa na/au kwenda “service”
- Kufuata taratibu sheria kanuni na miongozo ya usalama barabarani
- Kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya shule na taasisi husika pale linapotokea tatizo kwa gari la shule unaloendesha
- Kufuata mipangilio na ratiba za magari na maelekezo ya Dereva Mkuu kuhusu Route za magari
- Kushiriki sikukuu na shughuli za kijamii za The School of St. Jude mara zipangwapo
- Kutoa taarifa ya maandishi ikiwa gari unaloendesha litapata hitilafu au ajali itakayozuia safari iliyopangwa au ruti kuendelea.
Sifa za Mwombaji
- Mwombaji ajue kusoma na kuandika
- Mwombaji awe na Cheti cha Udereva kutoka kwenye chuo kinachotambulika
- Mwombaji awe na leseni hai ya daraja “C”
- Awe na uzoefu wa angalau miaka mitatu (3) ya kuendesha magari ya shule.
- Mwombaji awe Mtanzania mwenye kitambulisho cha Taifa
Faida ya ziada
- Ana cheti cha kuthibitisha ujuzi wa Kiingereza
- Ujuzi wa kutumia kompyuta
Vigezo na Masharti
Mwombaji anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo kikamilifu
- Aambatanishe barua ya uhakiki wa leseni kutoka polisi.
- Aambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa na Maelezo binafsi (CV)
- Aambatanishe barua kutoka kwa mtendaji au mwenyekiti wa mtaa
- Aambatanishe barua kutoka kwa muajiri aliepita
Maombi yawasilishwe katika Shule ya St. Jude Moshono Kampasi kabla au mnamo Ijumaa, tarehe 23 Februari 2024.
Maombi yatakayowasilishwa baada ya tarehe na muda uliopangwa hayatafanyiwa kazi.
Shule Itawasiliana na wale Watakaokidhi Vigezo na Sifa kwaajili ya Mahojiano (Interview).
NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024 Download PDF
Angalizo:
Tafadhali kuwa Makini na Matendo ya Udanganyifu katika Matangazo ya Kazi na Mchakato wa Ajira.
Shule ya St Jude haiombi malipo yoyote Katika hatua yoyote ya Mchakato wa Kuajiri.
Maombi yoyote ya kulipishwa yakataliwe na kuripotiwa kwa Mamlaka ya Utekelezaji wa Sheria za Mitaa kwa hatua stahiki.
Shule ya St Jude ni shule inayotoa elimu ya hisani ndani ya Tanzania. St Jude’s inafadhiliwa na wafuasi wa ukarimu kutoka kote ulimwenguni ambao hufanya dhamira yetu ya kuwapa wanafunzi wa Kitanzania mahiri na wanaotoka kwenye mazingira ya kimaskini elimu bure na yenye ubora.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: 2 Driver Job Vacancy at School of ST Jude February 2024., NAFASI 2 za Udereva Shule ya St Jude February 2024, Nafasi za Kazi za Udereva Tanzania, Tangazo la Kaz Nafasi za Udereva 2 Shule ya St Jude