RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 211 za Tabibu wa Kinywa na Meno July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 211 za Tabibu wa Kinywa na Meno July 07-2024

NAFASI 211 za Tabibu wa Kinywa na Meno July 07-2024,Nafasi za Kazi za Tabibu wa Kinywa na Meno Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 211 za Tabibu wa Kinywa na Meno Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Tabibu wa Kinywa na Meno Kutoka Tamisemi July 07-2024.

POST TABIBU WA KINYWA NA MENO II (DENTAL THERAPIST II) – 211 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi.
  • Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida ya kinywa na meno.
  • Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo.
  • Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi.
  • Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za Mfuko wa Afya ya Jamii.
  • Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma.
  • Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

NAFASI 211 za Tabibu wa Kinywa na Meno July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.