RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 2282 za Wauguzi July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 2282 za Wauguzi July 07-2024

NAFASI 2282 za Wauguzi July 07-2024,Nafasi za Kazi za Wauguzi Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 2282 za Wauguzi Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Wauguzi Ajira za Tamisemi July 07-2024, Nafasi 2282 za Manesi July 07-2024, Ajira 2282 za Nerse July 2024, Ajira za Manesi Kutoka Tamisemi July 2024.

NAFASI 2282 za Wauguzi July 07-2024

NAFASI 2282 za Wauguzi July 07-2024,Nafasi za Kazi za Wauguzi Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 2282 za Wauguzi Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Wauguzi Ajira za Tamisemi July 07-2024, Nafasi 2282 za Manesi July 07-2024.

POST DETAILS
POST MUUGUZI II (NURSE II) – 2282 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya;
  • Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu yake ya kazi;
  • Kukusanya takwimu na kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi;
  • Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani;
  • Kutoa ushauri nasaha;
  • Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango;
  • Kutoa huduma za uzazi na afya ya mtoto;
  • Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya;
  • Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yake ya kazi; na
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye cheti cha uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kusajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania

NAFASI 2282 za Wauguzi July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.