NAFASI 23 za Kazi Halmashauri ya Mji Bariadi July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 23 za Kazi Halmashauri ya Mji Bariadi July 2024
NAFASI 23 za Kazi Halmashauri ya Mji Bariadi July 2024
POST MTENDAJI WA MTAA III – 19 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Mji Bariadi
APPLICATION TIMELINE: 2024-07-18 2024-07-31
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Katibu wa Kamati ya Mtaa
- Mtendaji Mkuu wa Mtaa
- Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa.
- Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika Mtaa
- Msimamizi wautekelezaji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Mtaa.
- Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama
- Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umasikini katika Mtaa.
- Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote
- Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wa Mtaa wote
- Atawajibika kwa Afisa Mtendaji wa Kata.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha nne/sita aliyehitimu mafunzo ya Astashahada / Cheti (NTA LEVEL 5) katika mojawapo ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B
POST: MTENDAJI WA MTAA III – 19 POST Employer: Halmashauri ya Mji Bariadi More Details |
2024-07-31 Login to Apply |
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 4 POST Employer: Halmashauri ya Mji Bariadi More Details |
2024-07-31 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NAFASI 23 za Kazi Halmashauri ya Mji Bariadi July 2024