NAFASI 26 za Kazi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi June 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 26 za Kazi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi June 2024
NAFASI 26 za Kazi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi June 2024, Kazi za wizara ya mambo ya ndani, Wizara ya mambo ya ndani ya nchi tanzania,Ajira wizara ya mambo ya Ndani Juni 2024,Wizara ya Mambo ya Ndani dar es salaam,Nafasi 26 za Kuhamia KatikaWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi June 2024.
NAFASI ZA KUHAMIA KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepewa kibali na mwenye Mamlaka Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora cha kujaza nafasi 26 zilizo wazi kwa utaratibu wa kuhamishiwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kwa kibali hicho Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anawatangazia watumishi wote wa Umma Tanzania, wenye nia na wanaokidhi vigezo vya Kimuundo kuwasilisha maombi kwaajili ya nafasi za zifuatazo hapo chini:-
- Msaidizi wa Kumbukumbu Mkuu Daraja II – Nafasi 1.
- Msaidizi wa Kumbukumbu Mwandamizi – Nafasi 2.
- Afisa Ugavi Mkuu Daraja la II – Nafasi 1.
- Afisa Ugavi Mwandamizi – Nafasi 1.
- Afisa Ugavi Daraja la II – Nafasi 2.
- Mchumi Daraja la I – Nafasi 1.
- Mchumi Mwandamizi – Nafasi 2.
- Mchumi Mkuu Daraja la II – Nafasi 1.
- Mtakwimu Mkuu Daraja la II – Nafasi 1.
- Mtakwimu Daraja la I – Nafasi 1.
- Afisa Ustawi wa Jamii Daraja la II – Nafasi 5.
- Afisa Hesabu Mwandamizi – Nafasi 1.
- Afisa Sheria Mkuu Daraja la II – Nafasi 3.
- Afisa Sheria Mwandamizi – Nafasi 2.
- Mkaguzi wa Ndani Mwandamizi – Nafasi 1.
- Mkaguzi wa Ndani Daraja la I – Nafasi 1.
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI:
- Waombaji wote wapitishe barua za maombi kwa Waajiri wao
- Maombi hayo yaambatane na uthibitisho wa Mwajiri kuhusu uhakiki wa vyeti vya kidato cha nne kutoka NECTA
- Waambatishe maelezo binafsi (CV) yenye anuani zao, namba za simu pamoja na majina ya wadhamini watatu wa kuaminika
- Maombi yaambatane na vyeti vya elimu na taaluma
- Mwombaji asiwe na shauri la kinidhamu
- Mwombaji atajigharamia gharama za uhamisho
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 Juni, 2024
Maombi yawasilishwe kupitia Mfumo wa kielektroniki wa Uhamisho e-transfer kwa anuani ya:-
Katibu Mkuu,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
S. L. P 2916,
40483 DODOMA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira wizara ya mambo ya Ndani Juni 2024, Kazi za wizara ya mambo ya ndani, NAFASI 26 za Kazi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi June 2024, Nafasi 26 za Kuhamia KatikaWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi June 2024., Wizara ya Mambo ya Ndani dar es salaam, Wizara ya mambo ya ndani ya nchi tanzania