NAFASI 266 za Afisa Afya Mazingira Msaidizi July 07-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 266 za Afisa Afya Mazingira Msaidizi July 07-2024
NAFASI 266 za Afisa Afya Mazingira Msaidizi July 07-2024, Nafasi za Afisa Afya Mazingira Msaidizi Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 266 za Afisa Afya Mazingira Msaidizi Kada ya Afya TAMISEMI July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Afya Mazingira Msaidizi July 07-2024.
POST AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – 266 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa
- Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa.
- Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza
- Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika.
- Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili.
- Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii.
- Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii.
- Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo.
- Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira.
- Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na wawe amesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya Mazingira.
NAFASI 266 za Afisa Afya Mazingira Msaidizi July 07-2024
POST: AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – 10 POST Employer: Mkoa wa Arusha More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – 14 POST Employer: Mkoa wa Dar es Salaam More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – 15 POST Employer: Mkoa wa Dodoma More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – 13 POST Employer: Mkoa wa Geita More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – 7 POST Employer: Mkoa wa Iringa More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) – 6 POST Employer: Mkoa wa Kagera More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira 266 za Afisa Afya Mazingira Msaidizi Kada ya Afya TAMISEMI July 2024, NAFASI 266 za Afisa Afya Mazingira Msaidizi July 07-2024, Nafasi za Afisa Afya Mazingira Msaidizi Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Afya Mazingira Msaidizi July 07-2024.