RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 289 za Afisa Muuguzi July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 289 za Afisa Muuguzi July 07-2024

NAFASI 289 za Afisa Muuguzi July 07-2024,Nafasi za Kazi za Afisa Muuguzi Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 289 za Afisa Muuguzi Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Muuguzi TAMISEMI July 07-2024.

POST AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 289 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya.
  • Kukusanya takwimu muhimu za afya.
  • Kuwaelekeza na kusimamia wauguzi walio chini yake.
  • Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani.
  • Kutoa ushauri nasaha.
  • Kutayarisha mpango wa kazi kwaajili ya huduma za uuguzi.
  • Kutoa huduma za kingana uzazi.
  • Kuelimisha wagonjwa na jamii.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Uuguzi kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali, waliohitimu mafunzo ya vitendo kazini (Internship) ya mwaka mmoja, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.

NAFASI 289 za Afisa Muuguzi July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.