RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 32 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Ruvuma July 06-2024

Filed in Ajira by on 06/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 32 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Ruvuma July 06-2024

NAFASI 32 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Ruvuma July 06-2024, Ajira Mpya za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Ruvuma July 06-2024, Nafasi Mpya za Kazi za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Ruvuma July 06-2024.

MTEKNOLOJIA MAABARA II – ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 32 POST
Mkoa wa Ruvuma
2024-07-06 2024-07-19
N/A

                             i.    Kupima sampuli zinazoletwa maabara.

                            ii.        Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu.

                           iii.       Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya kemikali.

                          iv.       Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa

          uchunguzi.

                            v.       Kufundisha watumishi walio chini yake.

                          vi.       Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Maabara za afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalam wa Maabara.

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara y

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , ,

Comments are closed.