RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 322 za Mteknolojia Maabara July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 322 za Mteknolojia Maabara July 07-2024

NAFASI 322 za Mteknolojia Maabara July 07-2024,Nafasi za Kazi za Mteknolojia Maabara Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 322 za Mteknolojia Maabara Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Mteknolojia Maabarao Kutoka TAMISEMI July 07-2024.

POST MTEKNOLOJIA MAABARA II – ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 322 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kupima sampuli zinazoletwa maabara.
  • Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu.
  • Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya kemikali.
  • Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi.
  • Kufundisha watumishi walio chini yake.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Maabara za afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalam wa Maabara.

NAFASI 322 za Mteknolojia Maabara July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.