NAFASI 33 za Kazi Ilasi Hospital August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 33 za Kazi Ilasi Hospital August 2024
Hospitali ya Ilasi ambayo ni hospitali binafsi katika Mkoa wa Songwe Wilayani Mbozi inakaribisha maombi ya kazi 33 kama ifuatavyo:
✅Medical Officer (Nafasi 5)
✅Clinical Officer (Nafasi 3)
✅Assistant Nursing Officer (Nafasi 7)
✅Nurse (Nafasi 6)
✅Health Assistant (Nafasi 6)
✅Health Laboratory Technologist (Nafasi 4)
✅Pharmacy Technologist (Nafasi 2)
Hati zote (Vyeti vya Masomo, Barua ya Maombi na CV) vinapaswa kuwa katika faili moja ya PDF.
Maombi yote yatumwe Katika email ya ilasihospitali@gmail.com.
Mwisho wa kutuma maombi ni 13 Septemba 2024