NAFASI 4 za Daktari Bingwa wa Watoto July 07-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 4 za Daktari Bingwa wa Watoto July 07-2024
NAFASI 4 za Daktari Bingwa wa Watoto July 07-2024,Nafasi za Kazi za Daktari Bingwa wa Watoto Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 4 za Daktari Bingwa wa Watoto Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Daktari Bingwa wa Watoto Kutoka TAMISEMI July 07-2024.
POST DAKTARI BINGWA WA WATOTO DARAJA LA II ( MEDICAL SPECIALIST – PEDIATRICIAN II) – 4 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika.
- Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi.
- Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
- Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
- Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake.
- Kusimamia wafanyakazi walio chini yake Kubuni.
- Kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo.
- Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
- Kutoa huduma za outreach katika kanda.
- Kutoa huduma za medical legal.
- Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya.
- Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini.
- Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya 2 kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya.
- Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
- Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari Bingwa au PhD kwenye fani ya Udaktari wa watoto kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.
NAFASI 4 za Daktari Bingwa wa Watoto July 07-2024
POST: DAKTARI BINGWA WA WATOTO DARAJA LA II ( MEDICAL SPECIALIST – PEDIATRICIAN II) – 3 POST Employer: Mkoa wa Dar es Salaam More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI BINGWA WA WATOTO DARAJA LA II ( MEDICAL SPECIALIST – PEDIATRICIAN II) – 1 POST Employer: Mkoa wa Kilimanjaro More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira 4 za Daktari Bingwa wa Watoto Kada ya Afya Tanzania July 2024, NAFASI 4 za Daktari Bingwa wa Watoto July 07-2024, Nafasi za Kazi za Daktari Bingwa wa Watoto Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Nafasi za Kazi za Daktari Bingwa wa Watoto Kutoka TAMISEMI July 07-2024.