RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 4 za Madereva Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa February 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 18/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 4 za Madereva Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa February 2024

NAFASI 4 za Madereva Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa February 2024, Nafasi za Kazi kwa Madereva halmashauri ya Wilaya ya Kilosa February 2024,Tangazo la Nafasi za Kazi  Wilaya ya Kilosa February 2024,NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA Kilosa

NAFASI 4 za Madereva Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa February 2024

NAFASI 4 za Madereva Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa February 2024, Nafasi za Kazi kwa Madereva halmashauri ya Wilaya ya Kilosa February 2024,Tangazo la Nafasi za Kazi  Wilaya ya Kilosa February 2024,NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA Kilosa.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa anakaribisha maombi ya kazi ya udereva wa mkataba kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi nne (4) kama ilivyoainishwa kwenye tangazo hili.

DEREVA NAFASI 4

SIFA ZA MUOMBAJI

  • Awe na cheti cha kidato cha nne (IV)
  • Awe na leseni ya daraja la C au E ya uendeshaji wa magari ambayo imefanyiwa kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na chuo cha mafunzo ya Ufundi stadi (VETA), NIT au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
  • Kujaza na kutunza taarifa zote katika daftari la safari
  • Kufanya usafi wa gari
  • NAFASI za Kazi NMB Bank Tanzania February 2024

MSHAHARA

  • Mwombaji atakaefanikiwa kuajiriwa mshahara kwa mwezi utakuwa ni makubaliano
    kati yake na Mwajiri.

NAFASI 4 za Madereva Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa February 2024, Nafasi za Kazi kwa Madereva halmashauri ya Wilaya ya Kilosa February 2024,Tangazo la Nafasi za Kazi  Wilaya ya Kilosa February 2024,NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA Kilosa.MASHARTI YA JUMLA

  • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri kuanzia miaka 18 – 45
  • Waombaji wote waambatishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
  • Barua ya muombaji ioneshe anuani anayotumia kwa sasa pamoja na namba za simu ikiambatana na:-
  • a) Nakala za vyeti vya taaluma
  • b) Nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika
  • c) Maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailled CV) yenye anauani na namba za simu zinazopatikana pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika
  • d) Picha mbili (2) za “Passport Size” za hivi karibuni
  • e) Kitambulisho au namba ta Kitambulisho cha Taifa (NIDA)
  • Waombaji wote waliowahi kupatikana na kosa la jinai hatafikiriwa
  • “Testmonial”, “Provisional Results”, Statement of Result” hati za matokeo ya kidato cha nne (FORM IV RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA
  • Uwasilishaji wa taarifa za sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria

waombaji wenye sifa wanatakiwa kutuma maombi kupitia Posta kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa,
S.L.P 65,
KILOSA.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 26 Februari, 2024 saa 9:30 Alasiri.

Kata za wilaya ya kilosa,Shule za msingi wilaya ya kilosa, Vijiji vya wilaya ya kilosa,Jina la mkuu WA WILAYA YA KILOSA, Historia ya mji wa kilosa, Shule za sekondari wilaya ya Kilosa, Kilosa wards, Ramani ya wilaya ya kilosa,Nafasi za kazi Halmashauri ya Kilombero, Mail kilosadc go tz, Mkuu wa wilaya ya kilosa 2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.