RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 41 za Katibu wa Afya July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 41 za Katibu wa Afya July 07-2024

NAFASI 41 za Katibu wa Afya July 07-2024,Nafasi za Kazi za Katibu wa Afya Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 41 za Katibu wa Afya Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Katibu wa Afya Tamisemi July 07-2024.

NAFASI 41 za Katibu wa Afya July 07-2024

NAFASI 41 za Katibu wa Afya July 07-2024,Nafasi za Kazi za Katibu wa Afya Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 41 za Katibu wa Afya Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Katibu wa Afya Tamisemi July 07-2024.

POST KATIBU WA AFYA DARAJA LA II (HEALTH SECRETARY II) – 41 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kutoa ushauri wa kiutawala na uendeshaji katika masuala ya kila siku kuhusu utekelezaji wa shughuli za afya kwa viongozi na wadau mbalimbali.
  • Kusimamia rasilimali na nyenzo za kuendeshea huduma za afya.
  • Kuratibu utayarishaji wa mipango ya afya katika sehemu yake ya kazi.
  • Kuratibu maandalizi ya makisio ya fedha ya shughuli zinazohusiana na Afya.
  • Kutayarisha taarifa za shughuli za uendeshaji na utekelezaji wa mwezi, robo mwaka na mwaka mzima.
  • Kuratibu mahusiano kati ya vituo vya huduma za afya na wateja/ jamii.
  • Kuratibu huduma za wagonjwa wasiokuwa na uwezo wa kuchangia gharama za huduma za afya.
  • Kuratibu taratibu za rufaa za kiutawala za wagonjwa.
  • Kuratibu, kuchambua na kuhifadhi takwimu na kumbukumbu za afya.
  • Kuwa katibu wa vikao vya Kamati za Uendeshaji huduma za Afya.
  • Kuandaa Tange ya wafanyakazi eneo lake la kazi.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Uongozi wa Huduma za Afya (Health Services Administration) kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali

NAFASI 41 za Katibu wa Afya July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.