KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

NAFASI 450 za Kazi Kutoka Kampuni ya Hope Holding May 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 05/05/2024 0 Comments

NAFASI 450 za Kazi Kutoka Kampuni ya Hope Holding May 2024

NAFASI 450 za Kazi Kutoka Kampuni ya Hope Holding May 2024

NAFASI 450 za Kazi Kutoka Kampuni ya Hope Holding May 2024

NAFASI 450 za Kazi Kutoka Kampuni ya Hope Holding May 2024,Kampuni Hope Holdings ambayo inaendesha Biashara Mbalimbali Katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na Maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki, imetangaza nafasi 450 za kazi kwa vijana mbalimbali wa Kitanzania.

Taarifa ya Kampuni hiyo kwa Vyombo vya Habari imesema kuwa aina za kazi zenye nafasi hizo 450 ni mbili ambazo ni Maafisa Mauzo na ya pili ni ya Watunza fedha (Cashier ) ambapo moja ya sifa za Waombaji ni kutakiwa kuwa na umri wa kuanzia miaka 30 hadi 40.

Sifa nyingine za Waombaji ni wawe na stashahada au shahada ya Biashara, Masoko, Mauzo au cheti chochote kinachoendana na Biashara na pia wawe na uwezo wa kuzungumza na Wateja na kushirikiana vizuri na Wafanyakazi wenzao.

Interview itafanyika kesho Jumatatu May 6-2024 kuanzia saa nane mchana ambapo Waombaji wote wanatakiwa kufika kwenye Interview hiyo eneo la Morocco Square, Kinondoni Dar es salaam wakiwa na copy ya CV zao na copy ya kitambulisho cha Taifa (NIDA).

Kwa mawasiliano zaidi wanaweza kupigia namba 0768298857.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *