SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


NAFASI 5 za Watendaji wa Kijiji Wilaya ya Bunda April 2024 

Filed in Ajira, Michezo by on 04/04/2024 0 Comments

NAFASI 5 za Watendaji wa Kijiji Wilaya ya Bunda April 2024

NAFASI 5 za Watendaji wa Kijiji Wilaya ya Bunda April 2024 

NAFASI 5 za Watendaji wa Kijiji Wilaya ya Bunda April 2024

NAFASI 5 za Watendaji wa Kijiji Wilaya ya Bunda April 2024,  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea Vibali vya Ajira vyenye Kumb. Na. FA.228/613/01/A/041,
Kumb. Na. FA.228/613/01/A/042, Kumb. Na. FA.228/613/01/A/043 na Kumb. Na. FA.228/613/01/A/045 vya tarehe 05 Februari, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora.

MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III – (NAFASI 5).

SIFA ZA MWOMBAJI.

 • Awe amehitimu elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI)
 • Awe amehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti cha Technician Certificate (NTA Level 5) katika moja ya fani zifuatazo:- Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka katika
  Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo – Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
 • NAFASI 2 za Mtendaji wa Kijiji Wilaya ya Mbarali April 2024

MAJUKUMU YA KAZI.

 • Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji;
 • Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao,
 • Kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora wa Kijiji;
 • Kuratibu na Kusimamia upangaji wa Utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji;
 • Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji;
 • Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;
 • Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na
  kuongeza uzalishaji mali;
 • Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji;
 • Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na Nyaraka za Kijiji:
 • Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalam waliopo katika Kijiji;
 • Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;
 • Kusimamia Utungaji wa Sheria Ndogo za Kijiji; na
 • Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

MSHAHARA.
Kwa kuzingatia Ngazi ya Mishahara ya Serikali yaani TGS B kwa Mwezi.

NAFASI 5 za Watendaji wa Kijiji Wilaya ya Bunda April 2024 MASHARTI KWA UJUMLA.

 • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka 18 na usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini Serikalini;
 • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye Mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma;
 • Waombaji wote waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detail Curriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na Anuani ya Barua Pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika;
 • Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia Sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi ya kazi kwa waajiri wao na waajiri wao wajiridhishe ipasavyo.
 • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detail C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika;
 • Maombi yote yaambatane na vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne au Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwavkuzingatia sifa za kazi husika.
 • Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates, – Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI, – Computer Certificate, – Vyeti vya Kitaaluma (Professional Certificate from Respective Boards);
 • “Testmonial“, ‘‘Provisional Results“, “Statement of results“, hati ya matokeo ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
 • Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE). Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba,
 • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA 04-04-2024 DONWLOAD PDF

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 17 Aprili, 2024.

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vya Elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Bunda,
S.L.P 126,
BUNDA.

Maombi yote ya kazi yatumwe kwenye Mfumo wa Kieletroniki wa Ajira
(Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa “Recruitment Portal“).

Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.

KUTUMA MAOMBI BONYEZA HAPA

ABOUT BUNDA DISTRICT COUNCIL:

Bunda District Council is one of the Local Government Authorities established in 1984 under District Authority as the provision of section 8 and 9 of 1982 with effect of the first day of January, 1984.

LOCATION OF BUNDA DISTRICT:

Bunda District is located on the Western part of Mara region. The District is one of the Nine Local Authorities constitute Mara region. To the North is bordered by Musoma  District Council and  Butiama District, to the South by Lake Victoria and Simiyu Region, to the East by the Serengeti District, and to the West by Lake Victoria. Bunda District Council is located at an elevation of 1,225 meters above sea level.  It is located 2° 0’0’’ S and 33°49’60’’E in Degrees Minutes Seconds.

NAFASI 5 za Watendaji wa Kijiji Wilaya ya Bunda April 2024

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *