RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 57 za Afisa Mteknolojia July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 57 za Afisa Mteknolojia July 07-2024

NAFASI 57 za Afisa Mteknolojia July 07-2024,Nafasi za Kazi za Afisa Mteknolojia Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 57 za Afisa Mteknolojia Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Mteknolojia Afya za Tamisemi July 07-2024.

POST AFISA MTEKNOLOJIA DARAJA LA II – MAABARA (HEALTH LABORATORY SCIENTISTS) – 57 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kufanya uchunguzi wa kimaabara (Haematology, Parasitology, Picrobiology, Immunology, Blood Group Serology, Entomology, Clinical Chemistry, and Histopathology) katika Maabara za Afya na utafiti (Research laboratories).
  • Kufundisha wanafunzi katika taasisi mbali mbali za Afya, masomo yanayoendana na taaluma ya Maabara.
  • Kuchukukua sampuli zinazohitaji utaalam maalum na sampuli kwa ajili ya uchunguzi katika maabara nyingine za Afya na utafiti.
  • Kuweka Kumbukumbu za matokeo ya vipimo katika rejesta.
  • Kutunza vifaa na Vitendea kazi vya Maabara,
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Maabara za Afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kusajiliwa kwa usajili wa kudumu (Full Registration Practitioners) na Baraza la Madaktari Tanganyika.

NAFASI 57 za Afisa Mteknolojia July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.