RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 6 za Mteknolojia wa Macho July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 6 za Mteknolojia wa Macho July 07-2024

NAFASI 6 za Mteknolojia wa Macho July 07-2024,Nafasi za Kazi za Mteknolojia wa Macho Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 6 za Mteknolojia wa Macho Kutoka Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Mteknolojia wa Macho Kutoka Tamisemi July 07-2024.

POST DETAILS
POST MTEKNOLOJIA WA MACHO DARAJA II (TECHNOLOGIST – OPTOMETRIST II) – 6 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kufanya uchunguzi wa upeo wa kuona na kutibu
  • Kurufaa wagonjwa kwenye ngazi za juu, zinazohitaji utaalamu zaidi
  • Kutoa ushauri nasaha
  • Kutunza na kurekebisha uharibifu wa vifaa vya macho
  • Kutengeneza miwani na kurekebisha miwani aina zote
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Macho kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Wataalam Macho.

NAFASI 6 za Mteknolojia wa Macho July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.