RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

NAFASI 60 Za Kazi MDAs na LGAs Leo December 2023

Filed in Ajira, Michezo by on 22/12/2023 0 Comments

NAFASI 60 Za Kazi MDAs na LGAs Leo December 2023

NAFASI 60 Za Kazi MDAs na LGAs Leo December 2023,NAFASI Za Kazi MDAs na LGAs Leo December 2023,Nafasi za kazi zilizotangazwa leo, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo Arusha, NAFASI za kazi TAMISEMI, NAFASI ZA KAZI Mpya wiki hii, Nafasi za kazi Dar es Salaam, Nafasi za kazi mashirika binafsi 2023,Nafasi za kazi kwa waliomaliza form four, Nafasi za kazi utunzaji kumbukumbu 2023, ajira.go.tz 2023, MDAs & LGAs, Ajira portal login, Ajira leo TANESCO.

NAFASI 60 Za Kazi MDAs na LGAs Leo December 2023

NAFASI 60 Za Kazi MDAs na LGAs Leo December 2023,NAFASI Za Kazi MDAs na LGAs Leo December 2023,Nafasi za kazi zilizotangazwa leo, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo Arusha, NAFASI za kazi TAMISEMI.

NAFASI ZA KAZI Mpya wiki hii, Nafasi za kazi Dar es Salaam, Nafasi za kazi mashirika binafsi 2023,Nafasi za kazi kwa waliomaliza form four, Nafasi za kazi utunzaji kumbukumbu 2023, ajira.go.tz 2023, MDAs & LGAs, Ajira portal login, Ajira leo TANESCO.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara Zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi sitini (60) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

NAFASI 60 Za Kazi MDAs na LGAs Leo December 2023,NAFASI Za Kazi MDAs na LGAs Leo December 2023,Nafasi za kazi zilizotangazwa leo, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo Arusha, NAFASI za kazi TAMISEMI, NAFASI ZA KAZI Mpya wiki hii, Nafasi za kazi Dar es Salaam, Nafasi za kazi mashirika binafsi 2023,Nafasi za kazi kwa waliomaliza form four, Nafasi za kazi utunzaji kumbukumbu 2023, ajira.go.tz 2023, MDAs & LGAs, Ajira portal login, Ajira leo TANESCO.

NAFASI 60 Za Kazi MDAs na LGAs Leo December 2023

AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) NAFASI – 15

MAJUKUMU YA KAZI

 • Kuandaa, kuandika na kufanya majaribio ya programu (Plan, code and test program);
 • Kusahihisha programu (Debug program);
 • Kuweka na kuhakikisha usalama wa programu (Incorporate security setting into program);
 • Kushirikiana na wadau wengine katika kutengeneza programu mbalimbali (Corporate with other software developers); na
 • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinayoendana na sifa na fani yake.

SIFA ZA MWOMBAJI

 • Mwombaji awe na Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Menejimenti ya Mifumo ya Habari au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii, kutoka katika Vyuo au Taasisi za elimu ya juu zinazotambuliwa na Serikali

MSAIDIZI WA HESABU II (ACCOUNTS ASSISTANT II) NAFASI – 20

MAJUKUMU YA KAZI

 • Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;
 • Kutunza kumbukumbu za hesabu;
 • Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na
 • Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

SIFA ZA MWOMBAJI

 • Kuajiriwa wenye Cheti cha Astashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au Cheti cha ATEC I kinachotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.

MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II) NAFASI – 12

MAJUKUMU YA KAZI

 • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri
 • Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
 • Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
 • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
 • Kupokea majalada na kusambaza kwa maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu
  husika;
 • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
 • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi na
 • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

SIFA ZA MWOMBAJI

 • Kuajiriwa wenye kuhitimu kidato cha nne au sita mwenye Stashahada ya uhazili (diploma)
  au NTA Level 6. Awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kiingereza maneno 80
  kwa dakika moja.

AFISA TEHAMA II FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA (ICT SECURITY) NAFASI – 3

MAJUKUMU YA KAZI

 • Kusimamia maboresho
  ya programu za kompyuta kwa wakati (Ensure software patches are implemented timely);
 • Kusakinisha, kusanidi na kuboresha programu za kuzuia virusi vya Kompyuta, (Install,software), configure, and update antivirus;
 • Kuelimisha hatari na watumiaji masuala mbalimbali yanayohusu udhaifu katika mifumo ya TEHAMA (Alert users on various security risks, threats and vulnerabilities);
 • Kukagua mifumo ya TEHAMA mara kwa mara (Perform systems audit on regular basis);
 • Kuweka viwango vya usalama na udhibiti katika mifumo ya TEHAMA kwa watumiaji (Implement security mechanisms and controlsin computer systems); na
 • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na” sifa na fani yake.

TANGAZO LA NAFASI 60 ZA KAZI MDAs na LGAs DOWNLOAD PDF KUSOMA ZAIDI.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *