KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

NAFASI 7 za Walimu Wilaya ya Monduli May 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 10/05/2024 0 Comments

NAFASI 7 za Walimu Wilaya ya Monduli May 2024

NAFASI 7 za Walimu Wilaya ya Monduli May 2024, Ajira za Walimu Halmashauri ya Wilaya ya Monduli May 2024, Nafasi za Ajira za Walimu Halmashauri ya Wilaya ya Monduli May 10-2024, Ajira za Walimu Halmashauri ya Wilaya ya Monduli May 10-2024.

NAFASI 7 za Walimu Wilaya ya Monduli May 2024

NAFASI 7 za Walimu Wilaya ya Monduli May 2024, Ajira za Walimu Halmashauri ya Wilaya ya Monduli May 2024, Nafasi za Ajira za Walimu Halmashauri ya Wilaya ya Monduli May 10-2024, Ajira za Walimu Halmashauri ya Wilaya ya Monduli May 10-2024.

POST MWALIMU DARAJA LA IIIA – 7
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

APPLICATION TIMELINE: 2024-05-10 2024-05-23
JOB SUMMARY NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

 • Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
 • Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufandishia na kujifunzia;
 • Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
 • Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
 • Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
 • Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
 • Kusimamia utunzaji wa Vifaa na mali za Shule;
 • Kufundisha na kusimamia Elimu ya Watu Wazima;
 • Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato na Nne ambaye amefaulu mafunzo ya Ualimu ya miaka miwili (02) kutoka Vyuo vya ualimu vinavyotambulika na Serikali na kutunukiwa Cheti cha Ualimu Daraja la A.

NGAZI YA MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGTS-B

MASHARTI YA JUMLA.

 • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini;
 • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu
  walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma;
 • Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na
  Mwanasheria/Wakili.
 • Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi
  ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
 • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
 • Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kuzaliwa,
  kidato cha Nne, kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho, na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
  Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
  – Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
  – Computer Certificate
  – Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
 • “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
 • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
 • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
 • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba,
  2010.
 • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 23 Mei, 2024

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;

KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment
Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/.= (Anuani hii pia
inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)

DONWLOAD PDF DOCUMENT

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *