RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024

NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024,Nafasi za Kazi za Madaktari Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 726 za Madaktari Kada ya Afya TAMISEMI 2024, Nafasi za Kazi za Madaktari Kutoka July 07-2024.

NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024

NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024,Nafasi za Kazi za Madaktari Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 726 za Madaktari Kada ya Afya TAMISEMI 2024, Nafasi za Kazi za Madaktari Kutoka July 07-2024.

POST DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) – 726 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura.
  • Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi.
  • Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
  • Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
  • Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.
  • Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi.
  • Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake.
  • Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo.
  • Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
  • Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya.
  • Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement).

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.