RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 9 za Madaktari wa Magonjwa ya Wakina Mama July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 9 za Madaktari wa Magonjwa ya Wakina Mama July 07-2024

NAFASI 9 za Madaktari wa Magonjwa ya Wakina Mama July 07-2024,Nafasi za Kazi za Madaktari wa Magonjwa ya Wakina Mama Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 9 za Madaktari wa Magonjwa ya Wakina Mama Kada ya Afya TAMISEMI July 2024, Nafasi za Kazi za Madaktari wa Magonjwa ya Wakina Mama July 07-2024.

POST DAKTARI WA MAGONJWA YA WAKINA MAMA DARAJA LA II (MEDICAL SPECIALIST – GYNAECOLOGIST II) – 9 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika.
  • Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi.
  • Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
  • Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
  • Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake.
  • Kusimamia wafanyakazi walio chini yake Kubuni.
  • kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo.
  • Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
  • Kutoa huduma za outreach katika kanda.
  • Kutoa huduma za medical legal
  • Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya.
  • Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini.
  • Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya 2 kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya.
  • Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
  • Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari Bingwa au PhD kwenye fani ya Udaktari wa Magonjwa ya wakinamama kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.

NAFASI 9 za Madaktari wa Magonjwa ya Wakina Mama July 07-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.