NAFASI 9 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Pwani July 06-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI 9 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Pwani July 06-2024
NAFASI 9 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Pwani July 06-2024, Ajira Mpya za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Pwani July 06-2024, Nafasi Mpya za za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Pwani July 06-2024, Nafasi za Kazi za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Pwani July 06-2024.
MTEKNOLOJIA MAABARA II – ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 9 POST |
Mkoa wa Pwani |
2024-07-06 2024-07-19 |
N/A |
i. Kupima sampuli zinazoletwa maabara. ii. Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu. iii. Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya kemikali. iv. Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi. v. Kufundisha watumishi walio chini yake. vi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake |
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Maabara za afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalam wa Maabara. |
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara y |
POST: MTEKNOLOJIA MAABARA II – ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 9 POST Employer: Mkoa wa Pwani More Details |
2024-07-19 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira Mpya za Mteknolojia Maabara Kutoka Mkoa wa Pwani July 06-2024, NAFASI 9 za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Pwani July 06-2024, Nafasi Mpya za za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Pwani July 06-2024, Nafasi za Kazi za Mteknolojia Maabara Mkoa wa Pwani July 06-2024.