NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024
NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024,NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi Wizara ya UTALII na Mambo ya Kale Zanzibar March 2024, Nafasi za Ajira Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar March 2024.
POST Afisa Takwimu Daraja la II-UNGUJA – 1 POST
EMPLOYER KAMISHENI YA UTALII ZANZIBAR
APPLICATION TIMELINE: From: 01-03-2024 To: 15-03-2024
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kusaidia kukusanya taarifa za Takwimu za Utalii.
- Kusaidia kuchukua Takwimu za Utalii mifano Vielelezo “Sampling” na kuziwasilisha sehemu husika.
- Kusaidia kuchambua na kuwasilisha Takwimu za Utalii kwa Wakuu wake wa kazi.
- Kufanyakazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Takwimu au Uchumi na Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
- Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ajili ya mifumo mbali mbali ya ukusanyaji takwimu.
REMUNERATION ZPSH-10
Click here to Apply
POST MSAIDIZI AFISA MKALIMANI WA LUGHA YA ALAMA-UNGUJA – 1 POST
EMPLOYER OFISI YA MUFTI MKUU WA ZANZIBAR
APPLICATION TIMELINE: From: 01-03-2024 To: 15-03-2024
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kuzingatia huduma ya ukalimani wa lugha ya alama kwa Watu wenye Ulemavu wa Uziwi.Kuyafanyia kazi mafunzo ya lugha ya Alama kwa Watendaji wa Taasisi za Umma na Binafsi.
- Kusaidia huduma ya ukalimani wa lugha ya Alama kwa vyombo vya kusimamia sharia.
- Kuandaa mazingira mazuri ya kupata taarifa kwa Watu wenye Ulemavu wa Uziwi
- Kusaidia katika kusimamia Kanuni za lugha ya alama na ukalimani wa lugha ya Alama
- Kusaidia katika kuandaa ripoti ya mwezi, nusu, na mwaka mzima juu ya utekelezaji wa majukumu ya ukalimani wa lugha ya alama.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arubaini na sita 46.
- Awe amehitimu Elimu ya Cheti cha Lugha ya Alama kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION ZPSB – 04
Click here to Apply
Nafasi za Kazi zaidi bofya HAPA.
Ajira Mpya Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar 2024, Nafasi za kazi wizara ya utalii zanzibar march 2024 download Pdf, Ajira portal Zanzibar,Nafasi za kazi Utumishi Zanzibar, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo, NAFASI ZA KAZI Mpya Wiki hii, Nafasi za kazi kwenye mabasi ya mikoani 2024.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024, Nafasi za Ajira Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar March 2024., Nafasi za Kazi Wizara ya UTALII na Mambo ya Kale Zanzibar March 2024