NAFASI ya Mhasibu Jimbo Kuu Katoliki Arusha June 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI ya Mhasibu Jimbo Kuu Katoliki Arusha June 2024
Jimbo Kuu Katoliki Arusha linatangaza nafasi ya Mhasibu katika moja ya Idara zake Mjini Arusha leo tarehe 27/06/2024.
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mtanzania
- Awe na Shahada ya Uhasibu na CPA(T), kutoka Vyuo vinavyotambulika hapa
nchini - Awe na Umri usiopungua miaka 35
- Awe na uzoefu wa kazi ya Uhasibu usiopungua miaka mitano (5)
- Aambatanishe CV, Vyeti vya Elimu pamoja na Picha (passport size)
Maombi yatumwe kwa:-
KATIBU MKUU,
JIMBO KUU KATOLIKI ARUSHA,
S.L.P 3044,
ARUSHA.
Barua pepe: widgad@arusha-archdiocese.or.tz
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/07/2024 saa 10:00 Jioni